Naombeni mnishauri kiustaarabu wakuu,msinikashifu tafadhali.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Kisa changu kiko hvi,kuna gal mmoja alikua galfrd wangu wa tangu utoton,ilitokea akaja kugundua kwamba nimemsalit kwa kutoka na rafiki yake kipenzi,wel alinchunia takriban mwaka mzima akikataa kujbu sms wala colz zangu,mwaka jana mwishon iltokea nkajarbu kumcol tena,bahat nzur akapokea 2kaongea mengi sana,na akaniambia amensamehe kwa yote yalyotokea na maisha yaendelee ka kawa,bac na mie nae kwa kujkosha nikamtumia zinga la zawadi kama asante ya msamaha wake.cha kushangaza imefika mwaka huu mwezi february,kila nkimpgia cmu yake naambiwa haipatkan bt nkijarbu kwa namba ingne inapatkana,nkajua tu atakua kaniblock coz hata a/c yangu ya fb nayo kaiblock,sasa wakuu nishaurin kuhusu huyu mtu hatujakosana tena wala nin ila ye kaamua kunitreat hvyo,me nimueleweje?over
 
Pole sana Senetor...
Hope kuna kitu anakuficha hasa mahusiano yake ya sasa....hope yuko na mtu na anashindwa kukuambia ukweli....
Change ID ya Fb then fanya uchunguzi ugundue nini kimejificha...
Pole kiongozi
 
Kijana kwanini ulimsaliti mwenzio? Pole na endelea kuwa na rafikiyake tu...
 
Tena kizito sana kama pipa la lami ndugu,bila shaka hukuwaza vema kabla ya kuandika hili jambo maana hata mtu anayejifunza mapenzi hatohitaji ushauri katika hili.
 
Kaka, kama kusoma huweza hata picha nayo huoni! Kwani alikuambia anataka kurudiana nawe au alikuambia amekusame na maisha yanasonga mbele?! Sasa kwa nini unataka kurudiana nae ilihali yule uliyechit nae bado yupo?! Au amekutosa!? Pole sana ila mtaka yote kwa pupa....!
 
Ameona utamharibia mahusiano na BF wake kwa vizawadi vyako kaa mbali alishakusamehe yameishia hapo
 
Kisa changu kiko hvi,kuna gal mmoja alikua galfrd wangu wa tangu utoton,ilitokea akaja kugundua kwamba nimemsalit kwa kutoka na rafiki yake kipenzi,wel alinchunia takriban mwaka mzima akikataa kujbu sms wala colz zangu,mwaka jana mwishon iltokea nkajarbu kumcol tena,bahat nzur akapokea 2kaongea mengi sana,na akaniambia amensamehe kwa yote yalyotokea na maisha yaendelee ka kawa,bac na mie nae kwa kujkosha nikamtumia zinga la zawadi kama asante ya msamaha wake.cha kushangaza imefika mwaka huu mwezi february,kila nkimpgia cmu yake naambiwa haipatkan bt nkijarbu kwa namba ingne inapatkana,nkajua tu atakua kaniblock coz hata a/c yangu ya fb nayo kaiblock,sasa wakuu nishaurin kuhusu huyu mtu hatujakosana tena wala nin ila ye kaamua kunitreat hvyo,me nimueleweje?over
Mchovwa asali hachovyi mara moja! Mliucheza mchezo huo hapo nyuma sasa anaona acheze tena! Inawezekana kipindi cha mwaka alikuwa na mwengine na ikatokea kuwa aligombana na yule ndio akarejea kwako. Huyo jamaa amesharudi hivyo ni zamu yako kuwekwa pembeni. Bora wewe endelea na zako wala usimtafute tena.
 
so na mawasliano yake nifute au vp mkuu?
 
...Senetor,
asikuchoshe,usimchoshe...msichoshane
she not tired you,you not tired her...dont tired each other(msisitizo)
hapo hakuna kitu na usijilaum kwa lolote(after-all ww ndio msaliti wakwanza) mzee haya mambo yanatakiwa yaje naturally...kama hana feelings tena juu yako,ukiforce inaweza kuwa DISASTER mbeleni...
potezea mbona viumbe wako wengi hao...
 
Kwani alipokuambia kakusamehe alikuambia anakutaka tena? Muache dada wa watu, keshamove on hana habari na loosers.
She is a smart one.
 
...Senetor,
asikuchoshe,usimchoshe...msichoshane
she not tired you,you not tired her...dont tired each other(msisitizo)
hapo hakuna kitu na usijilaum kwa lolote(after-all ww ndio msaliti wakwanza) mzee haya mambo yanatakiwa yaje naturally...kama hana feelings tena juu yako,ukiforce inaweza kuwa DISASTER mbeleni...
potezea mbona viumbe wako wengi hao...

asante sana mkuu,naanza kupata mwanga atleast.
 
imekula kwako mkuu,tafuta ustaarab mwingine,huyo keshachukuliwa na figanniga.
Mia
 
Sasa unataka kuwasiliana na mtu ambaye hataki muwasiliane??
Bonyeza "Shift Delete" uone maisha ktk mwanga bora

ila huwa naona ka sio ustaarabu kufuta mawasliano ya mtu mkuu.
 
imekula kwako mkuu,tafuta ustaarab mwingine,huyo keshachukuliwa na figanniga.
Mia

hilo la kuchukuliwa co big ishu kwangu mkuu,nlikua naulza sababu za hadi kuniblock,kwan c angenambia tu hatak mawasliano na mie ningemuelewa!
 
Back
Top Bottom