Naombeni mnishauri kiustaarabu wakuu,msinikashifu tafadhali.

nina amini ushauri mwingi umeshaupata.move on,haina haja ya kung'ang'aniana.ujue huyo hakuamini tena,ingawa ameshakusamehe
 
nina amini ushauri mwingi umeshaupata.move on,haina haja ya kung'ang'aniana.ujue huyo hakuamini tena,ingawa ameshakusamehe

ndo hadi kuniblock mkuu kisukari?
 
ndo hadi kuniblock mkuu kisukari?

kaka amekublock maana ameona umekua RUBA...hataki usumbufu mkuu...huwezi kuliona hilo???
kumuondoa mtu katika mawasiliano ni njia nzuri ya kumpoteza mtu katika mahusiano...
 
Ushakua biggest looser ww angalia ustaarabu mwingine we si uliona vitamu viko kwa best yake endelea naye tu huyo
 

Angalia usije ukajigonga maana wengine ndo muda wao wa kula na jizuie kufanya mambo mengi km vile zawadi nk maana siku ya mwisho itakuuma nasa na utajikuta ktk wakati mgumu wakati utakapogundua kuwa tayari alikuwa ana mtu mwingine, mi nakushauri madem ni wengi mno, km ni ki mtaa nakushauri badili viwanja utampata akupendaye tuu. Nawe kata mawasiliano maana inawezekana huyo aliye naye kamlazimisha kukata mawasiliano nawe. Mkuu jikate mapenda ujekuwa *****....................!!!!!!!!!!
 
senator kote kote kwa weza kuwa sawa ila kama una mean yoyote ya kumpata jaribu kumtafuta umuweke chini akuelezee kinaga ubaga ili utakapomove on ujue ujaach deni nyuma
 
Huwa ni ngumu sana kwa wasichana kujua kwamba una tembea na msichana mwingine,halafu afurahie tu,aendeleze mawasiliano na wewe.inakuwa ngumu.So,the bestway ni kukata mawasiliano,ili apunguze maumivu na kukusahau kabisa..
 
Angalia pande zingine wewe.Kwani kale karafiki kake nako sikatamu.Au kame chachuka
 
Uaminifu ni nguzo muhimu sana kwenye mapenzi.Kama uliivunja,tegemea yote hayo,kwa sababu ulienda kwa mwingine anaekufaa zaidi.let her go pia..na mabadiliko kama hayo ukiyaona,usishangae mkuu.

Maana najua hata wewe ulivyoenda kwa rafiki yake,mabadiliko yalitokea.ile care ya zaman ikaisha.

Thats life dude!Move on.
 
duh anamoyo sana huyo bint.ulimsaliti kwa rafik yake yan km ndio mimi nisingekusamehe milele na huyo shoga angu ningemchoma kisu cha **** abak na ukumbusho coz alijua uhusiano we2.by tha way hawez kukupenda tena ali2mia 2 ustarabu kukujibu amekusamehe labda mafundisho ya kidin yamemkolea KUSAMEHE
 
hilo la kuchukuliwa co big ishu kwangu mkuu,nlikua naulza sababu za hadi kuniblock,kwan c angenambia tu hatak mawasliano na mie ningemuelewa!

duuu kweli we kichwa ngumu.

Hatakama kusoma hujui siyo kihivyo kaka.wewe si ndo ulilianzisha yeye kamalizia .
Unatweta ,kubweka na kung'aka na nin sasa.??
 
Ushaachwa cku nyingi wewe 2 ulikua hujashtukia
 
Khaaaa! Kuumbeee nimegundua hata wanawake wana maamuz magum! Kias hiki duh
 
hilo la kuchukuliwa co big ishu kwangu mkuu,nlikua naulza sababu za hadi kuniblock,kwan c angenambia tu hatak mawasliano na mie ningemuelewa!
Hicho alichofanya mbona kinatosha kabisa kukujulisha kuwa hataki mawasiliano? Kama kusoma hujui, angalia picha utaelewa...
 
Ulim boa sana, akakusamehe ila hana mapenzi na wewe tena, I mean huwezi kuwa mpenzi wake tena. Sasa izo call zako ndo tatizo coz sa ivi ana mtu wake (amemfia kichizi) na alishamsimulia ulichomfanya (kutembea na friend wake). Jamaa yake KAMPIGA STOP MAWASILIANO NA WEWE NDO MANA KAKUBLOK FB NA KWENYE SIMU YAKE. Fromleo elewa hilo mbona simple tu kama 0x0?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…