Naombeni mnishauri kiustaarabu wakuu,msinikashifu tafadhali.

alikusubiri uingie penati box naye akuangushe makusudi ili penati ihamie kwako.
imekula kwako maana aliumia sana na alijitahidi kwa akili sana kuhamishia maumivu aliyoyapata kipindi kuhamishia kwako,ndo maana wakati ulipomsaliti haukuja kutuambia kuwa umemsaliti mpenzio ila leo maumivu yamehamishiwa kwako angalia unavyopiga kelele,hapo umelipiziwa kijana,kuwa makini siku nyingine!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…