Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Form 4 nimemaliza mwaka 2004..nikarisit mwaka 2013 nikapata d chemistry na english kwa upande wa scienceHapo kwanza inabidi form 4 tujue ulimaliza mwaka gani.
Pili tujue ulipataje Ili tujue kipi kimesalia. Maana kama ulimaliza mdah mrefu sana itakuchukua ugumu kwenye masomo pili kama Cheti chako Cha form 4 alama ulizopata mwanzo je umepungukiwa kipi hili uwe na vigezo vya kusoma nursing mana tukipiga maesabu ya alaka alaka adi unakuja kumaliza nursing na kufanya hyo Pepa ya kidato Cha nne almost miaka 5 plus na huu imeshaisha ni miaka 6 + umri wako wa 36 ni 42 na vigezo vya kuajiriwa serikalini kiumri ni miaka 45 .
Na msoto wa kusubiri hizo ajira bado atuujumlishi japo wanaangalia waliomaliza nyuma ila kuna bahati pia unaweza ukamaliza na ukapata ajira.
Yote kwa yote inawezekana ni uteyari wako tu
Yes kabisa elimu Haina mwisho. Mimi nilisoma sec na Mzee wa miaka 65.Nina miaka 36, mama wa watoto 2, elimu yangu form 4 nilisoma medical attendant ambapo nimefanikiwa kufungua duka la dawa.
Naombeni mnishauri nataka nianze kusoma mwaka huu kurudia masomo ya O level Ili nijiandikishe kufanya mtihan wa form 4 mwaka 2025, Ili niende nikasome nurse niweze kupata ajira. Nilimaliza form 4 mwaka 2004
Je kwa umri wangu itanisaidia? Naomben mawazo yenu
Jumla Cheti chako kina D ngap?Form 4 nimemaliza mwaka 2004..nikarisit mwaka 2013 nikapata d chemistry na english kwa upande wa science
Hiyo kazi utapewa na nani...? Hivi hujui kuwa hii nchi yetu mpaka mtu anapata kazi Kuna kazi kubwa sana nyuma yake ameifanya...kama huna unaemjua mwenye cheo kikubwa Kwa sekta unayo hitaji...haki vile kutoboa ni ngumu sana
Ulisharudiana na Mumeo?Nina miaka 36, mama wa watoto 2, elimu yangu form 4 nilisoma medical attendant ambapo nimefanikiwa kufungua duka la dawa.
Naombeni mnishauri nataka nianze kusoma mwaka huu kurudia masomo ya O level Ili nijiandikishe kufanya mtihan wa form 4 mwaka 2025, Ili niende nikasome nurse niweze kupata ajira. Nilimaliza form 4 mwaka 2004
Je kwa umri wangu itanisaidia? Naomben mawazo yenu
Unamshauri au unamkatisha tamaaUmemaliza form four tena unataka usome ufike form four?? Ebu weka maelezo vizuri au unataka kujiendeleza form five na six, au unataka kwenda chuo au form four 2004 ulipata division zero (0)
@GentamyclineNi sawa mkuu bado kwa umri wako unaruhusu mbona kina Gentamycline walianza vidudu na miaka35
nina 2 tu, chemistry na englishEntry Qualification for Certificate and Diploma in Nursing and midwifery.
Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with at least four (4) passes in non-religious subjects including Chemistry, Biology and Physics/Engineering Sciences. A pass in Basic Mathematics and English Language is an added advantage.
Je wewe umepungukiwa D ya Nini hapa?
NdioUlisharudiana na Mumeo?