Naombeni mongozo wenu.

Naombeni mongozo wenu.

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Habari wakuu,


Nimepata uhamisho kikazi kwenda katika mkoa wa simiyu wilaya ya meatu.

Kwa wale wanaoifahamu naombeni mongozo wenu wa kufika meatu, gari gani nipande?, nitafika siku moja?

Mazingira ya meatu yakoje?
 
Panda Dreamliner hadi Mwanza au Basi hadi Shinyanga...ukifika huko ulizia gari za Meatu;utakuwa umefika

Safari Njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom