Ushaambiwa panda Bombardier au mabasi ya Mwanza utalala Shinyanga kesho yake upande mabasi ya kwenda Meatu
Dream liner bei gani hadi mwanza?Panda Dreamliner hadi Mwanza au Basi hadi Shinyanga...ukifika huko ulizia gari za Meatu;utakuwa umefika
Safari Njema
Sent using Jamii Forums mobile app