Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

Naombeni Mrejesho kwanini watu wanaisifia sana Carina TI?

Zipo ambazo zina engine Cc 1490 kama ist

Zina Cc sawa na IST lakini hazina hazina engine sawa.

Hiyo engine ya IST kwa Cc hizo inatumia mafuta vizuri kuliko ya carina sababu ya technology mbalimbali ambazo ni za kisasa zilizopo kwenye IST.

Kuna IST zinakupa mpaka 18km kwa lita. Kitu ambacho huwezi pata kwenye Carina.
 
Habari wakuu, nimeona watu wengi sana wanaisifia hii gari lakini najiuliza kwanini haitumiki kwenye uber na Bolt ijapokuwa inatumia mafuta kidogo
Carina ti ni gsri very uncomfortable... Ina viti vipo chini sana.... Viti vipo chini kwa ajiri ya ku compensate head room.... Yaan utadhan unadumbukia..

Kwa uimara ni gari nzuri, kuna ya cc 1490 na 1800.. ya 1800 ni corona SI.
 
Inategemea mazee kama yeye mishe mishe zake ni huko RUKOMA Wilaya ya Uvinza, Kigoma na kuja Town ni karibia Km 300 za vumbi kwa nini asijadili Carina? Mnadhani watu wote wanaishi Magomeni, Mburahati (Dar) au Kihonda kwa Chambo (Morogoro)??
Si bora probox sasa... Tatizo haujanielewa
 
Habari wakuu, nimeona watu wengi sana wanaisifia hii gari lakini najiuliza kwanini haitumiki kwenye uber na Bolt ijapokuwa inatumia mafuta kidogo
Yani ni uzembe wa hali ya juu sana kujadili Carina Ti/ Rav 4 Old model 1990!
Jman sasa hivu tunaangalia SUV AMBAYO inayotumia mafuta vizur zaid N iwe durable.
Mambo ya kujadili gar za miaka ya nyima zishapitw na wakat.
Eti utakta mwanaume anandesha old model Vits, carina, premior ata ukipark somewhere hakuna mtu anapay Attention kwako.Kasheshe utakapokwama sasa let say unahitaj mkopo wa dharula then unawega gar dhamana ndipo utakapojua kuwa gari unayomiliki ni ya kibwege.

Zungumzien SUV CARS kama hizi na zinginezo
FB_IMG_1632726387131.jpg
Screenshot_20210921-173311.jpg
Screenshot_20210929-105029.jpg
Screenshot_20210929-194603.jpg
 
Back
Top Bottom