Naombeni msaada Fundi wa body{kunyoosha na kupiga rangi gari}

Naombeni msaada Fundi wa body{kunyoosha na kupiga rangi gari}

Bonlove

Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
45
Reaction score
5
Habari wadau
Gari langu limepata ajari naombeni msaada wa fundi nzuri wa kunyoosha na kupiga rangi { awe na bei za wastani}
ea2ed678388c6e43a4e9c1f7788d810c.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona bandiko lako halijotoshelezi?? Wewe upo wapi? Maana yake mie nitatoa maoni kumbe fundi yupo Mbeya na wewe upo Lindi.
Fafanua location yako mkuu then watu wakipita watakuwa wanajua wachangiaje
 
But roughly kama unataka itoke ikiwa na rangi nzr apake coat 3 na kwa hyo m1 cyo Mbya! Usipeleke gari wakpakie rangi uchochoroni kwasababu ya bei utachukia gari maana gari litatoka likiwa na michirizi ya marsngi kila mahali.jitahd ufutilie kila hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom