Naombeni msaada Fundi wa body{kunyoosha na kupiga rangi gari}

Mbona bandiko lako halijotoshelezi?? Wewe upo wapi? Maana yake mie nitatoa maoni kumbe fundi yupo Mbeya na wewe upo Lindi.
Fafanua location yako mkuu then watu wakipita watakuwa wanajua wachangiaje
 
But roughly kama unataka itoke ikiwa na rangi nzr apake coat 3 na kwa hyo m1 cyo Mbya! Usipeleke gari wakpakie rangi uchochoroni kwasababu ya bei utachukia gari maana gari litatoka likiwa na michirizi ya marsngi kila mahali.jitahd ufutilie kila hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…