uliposifiki 99
Member
- Nov 14, 2011
- 36
- 1
duh!!! this sounds very familiar.
sasa kijana hapa itabidi upange mkakati wa mulika mwizi.
huyu kwa trend hapo ulizotaja naona huyu anawezakuwa anakuzingua ila hujapata ushahidi wa uhakika.
sasa mie naona wee unanze taratibu kukubaliana kuwa kuna uwezekano kuwa hapa unaibiwa hivyo mguu ndani mguu nje.
Huyo binti anasoma????? Yawezekana huwa unampigia simu muda wa darasani!!!
Ushauri.
Jaribu kukaa naye chini na kumwambia hali ya kutojibu sms na simu zako inakukera sana na unamuomba ajirekebishe.
Kama ni muelewa atajirekebisha.
Ushammega?
tineja mna uwezo wa kutatua matatizo yenu.
Wewe kula tunda hilo unasubiri nini yawezekana keshapata kidume kingine kinachomchanganya, we atakuwa anakuona **** tu fungua junia hilo uone kama mbuzi kweli asije kuwa mbwa huyo shauri yako!hapana bado cjala tunda
Mimi sichangii habari ambayo iko nusu nusu.........mpaka utakapoeleza mwenendo mzima!!!
Nilishakuwa na demu wa hivyo mwanzoni nilimuona wa kawaida yaani sikuzama kwake kivile ,ila baadae nilikuja kumla mara moja ktk mazingira ya kuvutanavutana ila nilijikuta nampenda hata kabla sijamla akaendelea na tabia kama ya huyo demu wako ila nikajagundua kuwa alikuwa na mchumba wake anayemwezesha mambo ya chuo,pia mpaka sasa sijui tatizo hasa ni lipi japo mimi kuna siku nilipanga naye apointmemt akawa kama anataka kunizengua ,
mi kwa hasira nilimtukana sana na naye akawa anarusha,
mi tangu siku hiyo nikawa nimemdelite kabisa japo baadae tuliendelea kuzungumza fresh ,
tukikutana sehem tunatoana ,
na hadi tunamaliza chuo majuzi hapo,japo alikuwa keshafunga ndoa ila mi nilikuwa nikimtest kuhusu kwenda kula mzigo anakubali kabisa na honeshi kinyongo fulani,
ila ukweli mpaka sasa sijamwelewa kabisa huyo x wangu mwenye vitabia kama vya wa kwako,
kwa sababu ya kuishi kimjin x2 ,mazingira tuliyokutania nk,
pole sana mzee ila kazi unayo
kama unaweza piga chini kamata mwingine tofaut na hivyo utabaki kuumia huku mambo yako hayendi sabab ya m2 asiyethamin hisia zako,
Hisia za ngono.!!!! Kwa nini asijaribu kuchunguza mazingira anayokuwa nyumbani kwao. Msichana mwenye nidhamu tena wa shule anayewezeshwa na wazazi bado aanze tu kushobokea simu za kuongelea ngono!! Labda anapopigiwa anakuwa karibu na wazazi au watu anaowaheshimu na hataki wajue mambo yake. Tatizo nyie madogo mna papara na hizo zenu za daka chinja piga chini kamata mwingine. Looooh.