antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
Nilichukua mkopo Bayport na nimekatwa almost 1.5milioni na nilikopa kama 2.2 milion.
Saivi bado miaka minne kurejesha mkopo wote lakini sasa hivi nilitaka kulipa deni lote nashangaa kuambiwa natakiwa kulipa riba hata ya miaka minne ijayo , hivi huu utaratibu ndio ulivyo.
Maana naambiwa natakiwa kulipa 3.2 milion ambayo hii ipo kwenye saraly slip.
Aliyewahi kukopa na kulipa mkopo Bayport kabla ya muda kuisha alifanya hivi nimejaribu kuwapigia wahudumu wa kwanza kaniambia deni linapungua lakini mwingine naye kasema natakiwa kulipa deni linalosoma kwenye saraly slip.
Msaada hapo kwa wazoefu.