naombeni msaada haraka plse

naombeni msaada haraka plse

bibliography

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
614
Reaction score
228
wadau niko kwenye interview nasubiri kuingia hivi uniliver kwa post ya administrative officer plse
 
sasa unataka usaidiwe nini madesa, au? hehehe hata hivyo unaonekana unapresha relax huu si muda wa madesa rafiki ulitakiwa kufanya tangu jana.Any way interview ni maswali yanayokuhusu na uwezo wako wa kazi usiogope.All the best
 
kaazi kwelikweli, ukisha pata kazi utakuja tena kutuuliza utendaji?
 
Hapana atamwambia interviewer subiri jibu la swali cna ngoja nipost jf
 
Back
Top Bottom