WIZZY BABILON 94
Member
- Jul 9, 2015
- 35
- 14
Nawasubiriaa kwa hamuWanakuja mafundi
Apo kuna 2 possibilitiesMaana kuna mdada analalamika tumbo linamuuma pia anahisi dalili za mimba na kajipima kakuta negative
ila kaenda hospitali kaonekana postive ....
na kwakutumia ultra sound haionekani kitu yani yupo normal na bado
anableed japo sio siku zake za kubleed....!!!
Msaada tafadhali hapo ....madocta
Kama ni open ndo vip na closed ndo vip??? Ufafanuzi kidogo??Apo kuna 2 possibilities
Ya kwanza mimba ni ndogo kiasi ambacho hakiwez kuonekana kwenye ultrasound... Mimba ikiwa chini ya week 5 haiwez kuonekana kwenye ultrasound.
Ya pili..
Kama anapata bleeding ambayo sio ya kawaida inawezekana
Either alikuwa mjamzito na ujauzito umetoka or ni mjamzito lakin ujauzito unatishia kutoka..
So ultrasound hata kama hawajaona ujauzito wanatakiwa kutwambia kama Cervix ipo open closed.. Hii ina maana yake.
Ikiwa open maana yake mimba imetoka na closed maana yake inatishia kutoka kama UPT inaonnyesha positiveKama ni open ndo vip na closed ndo vip??? Ufafanuzi kidogo??
Nimempima mara 3 imeonyesha negative but hospita wamepima mara moja imeonyeshaa positive .....Ikiwa open maana yake mimba imetoka na closed maana yake inatishia kutoka kama UPT inaonnyesha positive
Hata ivoo mwanzo ilionyesha postive then baada ya damu kuanza kutoka nkampima tena kesho yake na mpaka jana ikaonyesha negativee.....Nimempima mara 3 imeonyesha negative but hospita wamepima mara moja imeonyeshaa positive .....
Jaribu kununua izo kipimo sehem nyingine na soma vizur maelekezo af mpime tena...Nimempima mara 3 imeonyesha negative but hospita wamepima mara moja imeonyeshaa positive .....
Hii je[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Hata ivoo mwanzo ilionyesha postive then baada ya damu kuanza kutoka nkampima tena kesho yake na mpaka jana ikaonyesha negativee.....
Hata ujauzito ukitoka bado itaendelea kuwa positive kwa week kadhaaHii je[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Nashukuruuu kwaio natakiwa nimpime tena baada ya muda sio...?Hata ujauzito ukitoka bado itaendelea kuwa positive kwa week kadhaa
Yah... Kama itakuwa confirmed kwamba ujauzito umetokq a natakiwa kuwa kwenye dawa za maumivu na antibioticsNashukuruuu kwaio natakiwa nimpime tena baada ya muda sio...?
Na dawa za maumivu nimpatie alizoandikiwa na docta???
Kama haijatoka na damu zinatoka na anamaumivu pia inatakiwaje sasa hapo??Yah... Kama itakuwa confirmed kwamba ujauzito umetokq a natakiwa kuwa kwenye dawa za maumivu na antibiotics
Ok nashukuruuuPumzikeni kupima nyumbani kwa siku 7, mrudi hospitali kuangalia HCG levels.
Au muombe Transvaginal ultrasound Kama transabdominal ultrasound haikuweza kuonyesha kitu, na bado dalili zipo juu.
KaribuOk nashukuruuu
Hii inawezekana coz hata leo dalili za mimba zimeanza kupungua tofauti na juzii...Habari!
Poleni.. Ila kabla sijatia maneno mengi nikuambie kitu kimoja, SIKU ZOTE KWENYE SUALA LA AFYA UNAPOJIELEZA KWA MTAALAM au HATA KUULIZA KWA WATU WEKA MUDA AMBAO SUALA HILO LIMETOKEA.. Medical History ni History Kama nyinginezo Zinajengeka Katika dhima ya MUDA.
Tuendelee..
Mimba ni ya umri gani! (Au mara yake ya mwisho kuona siku zake kwa mara ya mwisho ni lini)
Je, io damu ameanza kuiona lini pia.?
Kwa haraka haraka hapo kuna uwezekano mimba imetoka, ila bado homoni za mimba ktk mkojo bado zipo juu (mimba ikitoka/kuharibika leo bado ukipima kwa mkojo itaonekana tu ndani ya siku 7)
Kuwa makini, na unaweza kumpeleka kituo cha karibu kwa huduma zaidi.
Asante na Karibu