Naombeni msaada jamani

Naombeni msaada jamani

KIPANYA

Member
Joined
Jan 3, 2011
Posts
61
Reaction score
2
NIMEBADILISHA OPERATING SYSTEM KWENYE LAPTOP YANGU AINA YA ( iNSPIRO 1525) DELL, DRIVER ZA SAUTI ZIMETOKA,PAMOJA NA VGA COMPATIBLE NAOMBENI MSAADA MWENYE NAZO ANITUMIE
 
NIMEBADILISHA OPERATING SYSTEM KWENYE LAPTOP YANGU AINA YA ( iNSPIRO 1525) DELL, DRIVER ZA SAUTI ZIMETOKA,PAMOJA NA VGA COMPATIBLE NAOMBENI MSAADA MWENYE NAZO ANITUMIE

unapatikana wap?mimi nipo tbr nnayo cd yake!
 
NIMEBADILISHA OPERATING SYSTEM KWENYE LAPTOP YANGU AINA YA ( iNSPIRO 1525) DELL, DRIVER ZA SAUTI ZIMETOKA,PAMOJA NA VGA COMPATIBLE NAOMBENI MSAADA MWENYE NAZO ANITUMIE

maelezo yako hayatshi kupata msaaada mzuri.Ulitakiwa kuweka detail zaidi kama

  • OS gani uliyoweka
  • Ni hardware detail za driver unaztafuta eg VGA inawe kuwa ATI xxx sound inaweza kuwa Reatek.
Vyovyote vile kimbilio lako

I

kwanza la matatizo ya driver ni kwenda kwenye site ya manufature wa brand ya laptop in your case ni Dell. Dell - Drivers and Downloads

Ingiza model yako then itazipata driver

Incase umewkawama driver may be untaka window 7 ambazo naona kwa dell yako hazipo na kwenye site ya manufature hakuna jaribu kudownload za window vista uone kama zitakubali.? Zikigoma nend kwenye option number ya II.

II
Pili kama stage ya kwanza hujapata dawa nenda kwneye site za manufacture wa Hardware husika. jaribu kucheki kama wana update ya drive ya model yako kwa OS fulani. In your case Dell zina VGA ya ATI na Speaker zake ni Reltek ila sina uhakika na model wewe ndo unaweza kujua versio ya ATI na reltek iliyomo kwenye laptop yako. So nenda

III
Ukikosa driver sehemu zote hizo sasa unaweza kuingia street "gerezani" kwenye site kama za Product reviews and prices, software downloads, and tech news - CNET. But mafanikio yako yatategemea kama unajua detail za driver eg ATI xxx or sound ya RT ac97

Good luck
 
Back
Top Bottom