Mr Lee Joon Ki
Member
- Nov 16, 2018
- 18
- 21
Hautoi harufu ilah labla kama ulivyosema kuwa inawezekana ikawa ni damu ya zamani ndio inatoka.Inawezekana kuwa ni damu ya zama I inamalizia kutoka kwenye uterus.
Discharge nyingine yeyote angalia rangi na harufu inaweza kuwa dalili za infection.
Kama unatoka baada ya sex au katikati ya siku zake...(baada ya kumaliza na kabla ya kuipata)Hautoi harufu ilah labla kama ulivyosema kuwa inawezekana ikawa ni damu ya zamani ndio inatoka.
Kama unatoka baada ya sex au katikati ya siku zake...(baada ya kumaliza na kabla ya kuipata)
Kuna uwezekano akawa na tatizo kwenye shingo ya kizazi.
Nivizuri ukampeleka hospitali wajue na historia yake na hicho Kijiti kujua kama mwili wake umekubaliana nacho au bado...
Yawezekana bado kijiti hajikaweka mzunguko wake wa hedhi sawa sawa.... Mkawaone wataalamu waliomwekea hicho kijiti na vipimo vingine vichukuliwe....
Bila shukrani.Sawah nashukuru kwa ushauri wako mzuri na wenye manufaa ilah mwezi uliopita hakuingia mwezini kabisa na baada ya hapo ndio limeanza tatizo hilo na hivyo vijiti ameweka mwezi wa 9 mwanzoni mwaka huu.
Bila shukrani.
Basi kuna uwezekano Mkubwa, mwili bado unakubaliana na hizo hormones....
Huchukua mda kwa mwili kusettle.....(wengine hata Miezi 3 hadi 6) inategemeana na mtu na mtu.
Alipaswa kujua haya kabla yakuwekewa ili ajiandae na matokeo kama hayo bila hofu.