Naombeni Msaada jamani

Mau

Senior Member
Joined
Apr 8, 2009
Posts
176
Reaction score
10
Habari za mishughuliko wana JF,
Naombeni mnipe msaada wa kiteknologia. Nimenunua INTEX TV TURNER na nimeitumia kuconvert VHS TO DVD lakini tatizo ninalopata ni kwamba, output ya video ninayoipata inaplay kwa window media tuu nikitumia player nyingine kama jet audio au Windvd inaplay half screen na nikiiburn kwenye dvd bado inaplay half scree kwenye tv.
Naombeni mwenye uzoefu na mambo haya anisaidie nipate quality ninayoihitaji
 
Ukibadilisha video format inakuwaje; Can you get a different resolution?

Sina ujanja kwenye mambo ya video encoding and capturing. Nakushauri google awe rafiki yako.


Hii statement ina uhusiano na unachoulizia?
http://www.videomaker.com/article/8164/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…