Naombeni msaada jina sahihi la huyu mdudu

Kibar

Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
90
Reaction score
25
Wadau naombeni msaada huyu mdudu anaitwa "Inzi" au "Nzi"... Kama unareferenc ni vizur zaidi
 
Mbona kwenye google translator ukieka inzi ndo inatokea fly ila nzi hayupo
 
Kwa kiswahili sanifu nilichofundishwa na mwalimu wangu wa shule ya msingi "Mwl Matinde Marwa" aliniambia huyo mdudu anaitwa..... INZI; Na sio nzi
 
Mapapai mazuri ya kizungu,mapera mazuri ya kizungu ila huyo mdudu si wakizungu,tulikuwa tunamwita nzi wa ccm,I do know why.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…