Naombeni msaada jina sahihi la huyu mdudu

Inzi wa lumumba huyo kwa wasakatonge. angalia hata rangi yake kuna kijani ipo
 
hakuna mdudu wa hivyo Tanzania, labda Tanganyika huko ama Zanzibar.
 
Mkuu umekosea, huyo si mdudu bali ni chama tawala nchini kwetu kwa jina kinaitwa CCM. Ila kama unataka kukikashifu waweza kukiita nzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…