Naombeni msaada jinsi ya ku-flash Infinix Note 3

bioto

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,261
Reaction score
2,097
Wakuu heshima kwenu,

Kama kichwa cha habari kilivyo naombeni msaada tafadhali nimetumia zile njia za kikamanda kubonyeza power button na volume button Kwa wakati mmoja imefikia sehemu sasa inataka niunganishe Wi-Fi nimekwama hapo.

Msaada tafadhali
 
Tafuta USB, chomeka ingia my computer kisha edit iwe ‘our computer’ baada ya hapo chomoa betri kisha washa simu huku umeshikilia batani ya kuongeza sauti. Ukisikia ‘kwi’ ujue tayari
 
Shikilia button ya power na volume kwa pamoja then. Itakuja jinsi ya kuformat
 
Wakuu heshima kwenu,

Kama kichwa cha habari kilivyo naombeni msaada tafadhali nimetumia zile njia za kikamanda kubonyeza power button na volume button Kwa wakati mmoja imefikia sehemu sasa inataka niunganishe Wi-Fi nimekwama hapo.

Msaada tafadhali

Unapatikana wapi?
 
Ni pm namba yako nikuelekeze mkuu
 
Tafuta USB, chomeka ingia my computer kisha edit iwe ‘our computer’ baada ya hapo chomoa betri kisha washa simu huku umeshikilia batani ya kuongeza sauti. Ukisikia ‘kwi’ ujue tayari
Ni hizi simu betri haitoki
 
Wakuu heshima kwenu,

Kama kichwa cha habari kilivyo naombeni msaada tafadhali nimetumia zile njia za kikamanda kubonyeza power button na volume button Kwa wakati mmoja imefikia sehemu sasa inataka niunganishe Wi-Fi nimekwama hapo.

Msaada tafadhali
Kwani wewe ni fundi, achana na hayo mambo bhana
 
- Flashing
- Gsm Unlocking
- Frp removal
- Firmwares
- Data recovery
Generally mobile phones repair
Contact me +255745400600
 
Wakuu heshima kwenu,

Kama kichwa cha habari kilivyo naombeni msaada tafadhali nimetumia zile njia za kikamanda kubonyeza power button na volume button Kwa wakati mmoja imefikia sehemu sasa inataka niunganishe Wi-Fi nimekwama hapo.

Msaada tafadhali
Ulisahau kufuta account mkuu ndo maana lakini nicheki PM nikupe maelezo
 
Kuflash lazima ufanye yafuatayo:
1. Uwe na PC au desktop
2. USB
3. Flashing tools, sp flash tool, miracle nk
4.Firmware au file ya cm yako husika,download mtandaoni mafail mengine huenda hadi Gb1
5. Anza kazi rasmi
 
Kama inakudai Wi-Fi tafuta ndugu yako hapo akuwashie hotspots then connect internet then ingiza email yako uliyokuwa inatumia

Done
Mkuu hapo ulipofikia msaada pekee ni hii comment hapa. Kama simu ni yako na unakumbuka email na password iliyokuwemo humo kabla hujafomart hiyo simu. Tofauti na hapo tafuta somo la ku bypass mkuu achana na habari za ku flash.
 
Zinatesa sana mzee ila ugumu unakuja pale hataki kuweka wazi kama email anakumbuka na ingekuwa rahisi kwake
 
Hii changamoto nakutana nayo sana. Unakuta mtu amenunua simu aliyemuuzia ndiye kamfungilia email na password anaijua muuzaji shughuli inakuja siku ame restore hiyo simu, email wala password hazikumbuki.

Hapo ndo penye utatat maana haina namna mpaka ku bypass frp
 
Back
Top Bottom