Naombeni msaada jinsi ya kufungua akaunti

Naombeni msaada jinsi ya kufungua akaunti

kim prince msofe

Senior Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
154
Reaction score
44
Wana JF naomb mnisaidie jinsi ya kufungua akaunt CRDB bank pamoja na masharti yake na vigezo vyake.
 
Tembelea tawi la CRDB lilipo karibu na wewe kiongozi utapewa utaratibu bila malipo bure kabisa nenda
Alichoshauri mkuu ni sawa kbisa kwakuw sisi htuna maelezo mazuri y kukup n kukuridhish zaid ya hao CRBD wenyew nashaur n naung mkon pia alichoshauri utandu..
 
Tembelea tawi watakupa maelezo yote ya muhimu
 
Acheni kudumaza ubongo bhana nenda taw lolote la bank utakayo yaan ckuiz mtu akiwashwa tyuu kapost thread ushuzi
 
Back
Top Bottom