lux Member Joined Sep 16, 2013 Posts 27 Reaction score 23 Dec 19, 2013 #1 Nikwanini Nelson Mandela aliwasamehe white people (Boers) baada ya kupata uhuru ikiwa wali watesa na kuwanyanyasa sana.
Nikwanini Nelson Mandela aliwasamehe white people (Boers) baada ya kupata uhuru ikiwa wali watesa na kuwanyanyasa sana.
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 6,716 Reaction score 12,116 Dec 19, 2013 #2 lux said: Nikwanini Nelson Mandela aliwasamehe white people (Boers) baada ya kupata uhuru ikiwa wali watesa na kuwanyanyasa sana. Click to expand... lux nenda jukwaa la greatthinkers kuna thread inayo elezea historia ya mandela au kuna mtu anaitwa nguruvi3 anakilakitu cha madiba.
lux said: Nikwanini Nelson Mandela aliwasamehe white people (Boers) baada ya kupata uhuru ikiwa wali watesa na kuwanyanyasa sana. Click to expand... lux nenda jukwaa la greatthinkers kuna thread inayo elezea historia ya mandela au kuna mtu anaitwa nguruvi3 anakilakitu cha madiba.
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,596 Reaction score 2,226 Dec 23, 2013 #4 Mbona hata yesu alikuwa anasame hivo hivo!