Neema j swai
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 177
- 103
Me najuaga vtu vyenye ncha Kali japo mgonjwa mwenyew ananiambia alikitumia lakn hakijamkata ila na wacwac maana cmwamin kama hakujikata kwelNana kakudanganya ukimwi unaambukizwa kwa njia ya wembe?
Umejikata lini mkuu? Nenda kapime tu.Habari zenu? Et kama umejikata bahati mbaya na kiwembe kilichotumiwa na mtu aliyeathirika anayetumia ARV kuna uwezekano wa kupata maambukizi japo mwenyew anasema hakujikata na hicho kiwembe ila kumwamin kama hakujikata kwel Bdo vigumu
Hondoa wasiwasi acha kufikilia vitu ambavyo havina hualisia. Kuwa huru hata huyo mgonjwa wako dawa ndizo zitamuua sio ukimwiMe najuaga vtu vyenye ncha Kali japo mgonjwa mwenyew ananiambia alikitumia lakn hakijamkata ila na wacwac maana cmwamin kama hakujikata kwel
ingelikuwa hivyo basi binadamu woote tungekuwa na ukimwi. haiko rahisi kama unavyodhania .ila waweza pata au la cha kufanya nenda ka checkHabari zenu? Et kama umejikata bahati mbaya na kiwembe kilichotumiwa na mtu aliyeathirika anayetumia ARV kuna uwezekano wa kupata maambukizi japo mwenyew anasema hakujikata na hicho kiwembe ila kumwamin kama hakujikata kwel Bdo vigumu
Asante japo kwenda kuchek inahitaj moyo unaweza kufa kabla majbu hayajatokaingelikuwa hivyo basi binadamu woote tungekuwa na ukimwi. haiko rahisi kama unavyodhania .ila waweza pata au la cha kufanya nenda ka check
nitakuletea vipimo ujipime mwenyewe na majibu ubaki nayo mwenyeweAsante japo kwenda kuchek inahitaj moyo unaweza kufa kabla majbu hayajatoka
Sasa kama ulikuwa unagawa utamu hovyo hovyo what do you expect nenda kapime kama utakuwa negative utapewa hizo PEP ila kama uko positive ndio ujiandae na hayo ma ARVs....Asante japo kwenda kuchek inahitaj moyo unaweza kufa kabla majbu hayajatoka
Nlikuwa najiamin ila toka nmejkata sijiamn tena ila Mung yupo namin anatulindanitakuletea vipimo ujipime mwenyewe na majibu ubaki nayo mwenyewe
Hv umeelewa nlichoandka nmesema nmejkata na wembe bahat mbaya uliotumiwa na mtu aliyeathirika japo mwenyew nmemukiza akaniambia ameutumia ila hajajikata nao kugawa utamu kumeingiaje hapo xaxaSasa kama ulikuwa unagawa utamu hovyo hovyo what do you expect nenda kapime kama utakuwa negative utapewa hizo PEP ila kama uko positive ndio ujiandae na hayo ma ARVs....
Kila la kheri....
Kukuelewesha ww kaz nlipma mm ni mzma ila baada ya kukatwa na huo wembe aliotumia huyu mwathirika ndonmekuwa na wacwac japo cna uhakika kama naweza nikawa na maambukiz ila cunajua uoga lazma hv nn usichoelewa hapoEmbu refer ulicho comment hapo juu kwamba unaweza ukafa kwa presha kabla majibu hayajoka ... Hiyo inamaanisha hujiamini na inaonesha wazi ulikuwa mtu wa kujiachia sana
Sawa nimekuelewa labda sikuelewa ulicho comment... anyway possibility ya wewe kuupata hapo ni ndogo sana ila kwa uhakika zaidi nenda ukapime kujihakikishia uko safe....Kukuelewesha ww kaz nlipma mm ni mzma ila baada ya kukatwa na huo wembe aliotumia huyu mwathirika ndonmekuwa na wacwac japo cna uhakika kama naweza nikawa na maambukiz ila cunajua uoga lazma hv nn usichoelewa hapo
Asante nashukuru kwa kunielewaSawa nimekuelewa labda sikuelewa ulicho comment... anyway possibility ya wewe kuupata hapo ni ndogo sana ila kwa uhakika zaidi nenda ukapime kujihakikishia uko safe....