Pls cm yangu hiyo tajwa hapo juu imepatwa na tatizo upande wa camera na touch hazifanyi kazi kabisa ukiweka on camera inaleata maneno kama"can't connect to the camera,ilianaza kugoma kupiga picha nyuma ya cm.ikaja touch ikagoma kuakisi mwanga ukiwasha touch inawaka front screen.Naombeni mwenye uwelewa na tatizo hili anijuze plz
htc desire nyingi matatZo yake common ni hilo la cant connect wto ze camera na kutokaa na chaji!,solution hapo nenda ka flash simu ila ukishaflash iuze maana flashing huwa inatatua tatzo kwa mda sio permanent !