Naombeni msaada kidogo wadau juu ya hili swala!!

CR wa PROB

Senior Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
170
Reaction score
29
Juzi wakati nipo hapa jamvini kuna Thread moja ya Bujiji iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho Ni Kitabu gani ulichokisoma hivi karibun..

Ilinivutia sana kuipitia kwani ukitaka kumficha kitu mtanzania wewe mwekee kwenye vitabu, yani ni wavivu sana kusoma vitabu. Sasa wakati naisoma kuna mdau mmoja amedai amesoma kitabu cha RAHA YA PIPA cha J.K na amedai kipo madukani, Sasa naomba kuuliza kuwa hivi ni kweli J.K ametoa hicho kitabu au vipi?? na je naweza kukipata wapi?? nisaidieni wadau kwa hili.
 
hakuna kitabu kama hicho-huyo mtu alikuwa anatania tu
 
doooooooh mimi pia nlickia hyo issue but nilshindwa kuamini
 
Vp ndg yng hivyo kwani JK nikifupisho cha majina kibao katika nchi hi we mulize kilefu chake kisha kakitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…