Soma kanuni za Utumishi za hyo halmashauri yako inasemaje kuhusu mfanyakaz kujiendeleza kimasomo? Then compare na maelezo unayopewa,,mwanzo mwajiri au waajiri wengi walikuwa wanawasomesha watumishi wao lakn ikaja ikagundulika kwamba mfanyakaz anaweza kufanya yafuatayoWakuu poleni na kazi,
Mimi ni mwajiliwa katika halmshauri ya moja hapa mkoani Kilimanjaro naomba kujua sheria ya mwajiri kumsomesha mfanyakazi ikoje maana halmashauri hii wanasema ukitaka kwenda kusoma maana yake ujigharamie kila kitu ila ukiomba mkopo bodi ya mikopo wanasema mwajiri wako ndio akulipie hizo gharama.
Wakuu hili likoje naombeni msaada natanguliza samahani kwa uandishi usiyo katika mpangilio mzuri ila limenitatiza sana
Hapa hakuna haja ya advocate,maan hii ni utaratibu ndan ya kaz,asome kama ulivyo mshaur mkataba pamoja na kanuni za utumishi za hapo anapofanyia kazMkataba wako wa kazi unasemaje pitia huo mkataba wa ajira. Au muone advocate aliye karibu nawe.
Ahsante mkuuSoma kanuni za Utumishi za hyo halmashauri yako inasemaje kuhusu mfanyakaz kujiendeleza kimasomo? Then compare na maelezo unayopewa,,mwanzo mwajiri au waajiri wengi walikuwa wanawasomesha watumishi wao lakn ikaja ikagundulika kwamba mfanyakaz anaweza kufanya yafuatayo
1. Kusoma kitu tofaut na kaz anayofanya
2. Akimaliza anaweza asirud tena pale alipo kuwa anafanyia kaz ,,sasa waajiri wakajikuta wanapata hasara sana ,ndo maan wakaweka mikakat migumu sana ,kama unataka kusoma jisomeshe kwa hela zako mwenyew
USHAURI WANGU HAPO NI OMBA MKOPO KWA MWAJIRI WAKO PIGA KITABU VINGINEZO ITAKULA KWAKO UKISUBIR MWAJIRI AKUSOMESHE