Naombeni msaada kuhusu Aliexpress

Naombeni msaada kuhusu Aliexpress

Mimi mwenyewe mwezi uliopita ilinizinguwa sana mpaka nikatumia kikuu..ila mara nyingi ukiona inazinguwa hakikisha kwenye account kuwe na balance ya kutosha mfano kama unanunua kitu cha jumla ya bei 20,000 basi uwe na ata 40000 kama kitakuwa na makato ya katwe ukiwa na hela pungufu inakuwa na usumbufu sana.
 
Mimi natumia M-Pesa Mastercard sijapata changamoto yoyote na hata jana nimenunua bidhaa AliExpress.

Na ikitokea salio lililopo ni chini ya bidhaa niliyotaka kununua nitapikea sms kwneye namba yangu ya Vidavon ya makato ya kiasi fulani yemshinfikana kutokana na salio lililopo kwneye M-Pesa Mastercard kuwa ndogo.

Mimi mwenyewe mwezi uliopita ilinizinguwa sana mpaka nikatumia kikuu..ila mara nyingi ukiona inazinguwa hakikisha kwenye account kuwe na balance ya kutosha mfano kama unanunua kitu cha jumla ya bei 20,000 basi uwe na ata 40000 kama kitakuwa na makato ya katwe ukiwa na hela pungufu inakuwa na usumbufu sana.
 
Ni miezi sasa kila nikitaka kununa vitu kupitia Aliexpress haiwezekani

Mimi natumia MasterCard za mitandao ya simu Tigo au Airtel ila sifanikiwi kama mwanzo nilivokuwa nafanya
Wasiliana na mtandao husika wakupe gateway ya malipo
 
Hujafafanua unakwama wapi?
1000323661.png
 
Ni miezi sasa kila nikitaka kununa vitu kupitia Aliexpress haiwezekani

Mimi natumia MasterCard za mitandao ya simu Tigo au Airtel ila sifanikiwi kama mwanzo nilivokuwa nafanya
Wasiliana na mtandao husika wakupe gateway
Nimejaribu ila Airtel walinambia kunashida kununua vitu online then nikaunga ya tigo ila hali ilikuwa ni vile vile
Fika ofisini kwao wakwambie shida ninini na inaisha lini
 
Wakuu habari

Naomba kuuliza kwa wataalamu wa kuagiza bidhaa aliexpress na kwenye platforms nyingine
Kwa sisi tuliopo mikoani (MBEYA) MZIGO unatufikia hadi huku
Ikiwa umewatumia wao kuagiza

Au mpaka tupokelee DASILAMU
 
Back
Top Bottom