Stunnaman008
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 238
- 272
Ukinunua unaambiwaje?Ni miezi sasa kila nikitaka kununa vitu kupitia Aliexpress haiwezekani
Mimi natumia MasterCard za mitandao ya simu Tigo au Airtel ila sifanikiwi kama mwanzo nilivokuwa nafanya
Hazina nime renewHazina expire card zako?
Contact na bankUkinunua unaambiwaje?
Ahsantejaribu visa card ya Mpesa
Mimi mwenyewe mwezi uliopita ilinizinguwa sana mpaka nikatumia kikuu..ila mara nyingi ukiona inazinguwa hakikisha kwenye account kuwe na balance ya kutosha mfano kama unanunua kitu cha jumla ya bei 20,000 basi uwe na ata 40000 kama kitakuwa na makato ya katwe ukiwa na hela pungufu inakuwa na usumbufu sana.
Wasiliana na mtandao husika wakupe gateway ya malipoNi miezi sasa kila nikitaka kununa vitu kupitia Aliexpress haiwezekani
Mimi natumia MasterCard za mitandao ya simu Tigo au Airtel ila sifanikiwi kama mwanzo nilivokuwa nafanya
Nimejaribu ila Airtel walinambia kunashida kununua vitu online then nikaunga ya tigo ila hali ilikuwa ni vile vileWasiliana na mtandao husika wakupe gateway ya malipo
Hujafafanua unakwama wapi?
Wasiliana na mtandao husika wakupe gatewayNi miezi sasa kila nikitaka kununa vitu kupitia Aliexpress haiwezekani
Mimi natumia MasterCard za mitandao ya simu Tigo au Airtel ila sifanikiwi kama mwanzo nilivokuwa nafanya
Fika ofisini kwao wakwambie shida ninini na inaisha liniNimejaribu ila Airtel walinambia kunashida kununua vitu online then nikaunga ya tigo ila hali ilikuwa ni vile vile
AhsanteWasiliana na mtandao husika wakupe gateway
Fika ofisini kwao wakwambie shida ninini na inaisha lini
Jaribu kufuta kadi halafu tengeneza upya. Na kwenye account yako ya Aliexpress idelete kadi ya nyuma then add hii mpya.
AhsanteJaribu kufuta kadi halafu tengeneza upya. Na kwenye account yako ya Aliexpress idelete kadi ya nyuma then add hii mpya.