wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,203
Tafuta edon ya 400kMimi kijana naitaji kufungua workshop ya welding kwa ajili ya kuchomea na kutengeneza vitu vya chuma
NAOMBENI kujua Bei za machine na changamoto ya hii biashara
Tafuta edon ya 400k
Wewe umeuliza bei ya kitu gani?Ndio nn iyo
Mafuta yakujipakaNdio nn iyo
Hujielewi wewe kma wa kiume au wa kike maaeee[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio nn iyo
Ukitaka mfanyakazi wa welding nicheki mkuu.. Nipo vizuri kwa aina zote za uchomeleaji mkuu..Mimi kijana naitaji kufungua workshop ya welding kwa ajili ya kuchomea na kutengeneza vitu vya chuma
NAOMBENI kujua Bei za machine na changamoto ya hii biashara
Pamoja na hiyo Edon, awe na heavy duty moja local made. Hizo za kichina ni nzuri kwa light duty na kazi za site.Tafuta edon ya 400k
Edon inapiga kazi nzito mkuu usiichukulie poaPamoja na hiyo Edon, awe na heavy duty moja local made. Hizo za kichina ni nzuri kwa light duty na kazi za site.
Ni kweli ila zikiungua nazo mtihani sana mzee, ndio maana wengi wanapenda kuwa na local made pia.Edon inapiga kazi nzito mkuu usiichukulie poa
Nakumbuka hata mie nimejifunzia haya Local , na mwalim wangu mmoja alikuwa specialist kwenye welding huko ujerumani.. nilikuwa nikichomelea mzee lazima ubaki mdomo wazi.. ngomaaa inatoka smoothPamoja na hiyo Edon, awe na heavy duty moja local made. Hizo za kichina ni nzuri kwa light duty na kazi za site.
Haha, haya local kama una ofisi ya welding ni muhimu kuwa nalo tu, hata kama hulitumii kila siku ila liwepo tu. Hata zile za kuchaji battery, unaweza kununua za kichina ila muhimu kuwa na hizi local.Nakumbuka hata mie nimejifunzia haya Local , na mwalim wangu mmoja alikuwa specialist kwenye welding huko ujerumani.. nilikuwa nikichomelea mzee lazima ubaki mdomo wazi.. ngomaaa inatoka smooth
Sure, kuna mahala walikuwa na hivi vimachine vyenye umbo la kuvutia mbona tulishindwa kufanya kazi . Ila pia issue capital kama una hela kuna machine babu kubwaaa ila sasa uwe na uhakika wa kazi za maana kama huko bandarini kama bwana B&Q na wengineoHaha, haya local kama una ofisi ya welding ni muhimu kuwa nalo tu, hata kama hulitumii kila siku ila liwepo tu. Hata zile za kuchaji battery, unaweza kununua za kichina ila muhimu kuwa na hizi local.
Sure, kuna mahala walikuwa na hivi vimachine vyenye umbo la kuvutia mbona tulishindwa kufanya kazi . Ila pia issue capital kama una hela kuna machine babu kubwaaa ila sasa uwe na uhakika wa kazi za maana kama huko bandarini kama bwana B&Q na wengineo
Welding inalipa mkuuUnaweza tafuta kijiwe cha kazi ambapo tutapata kazi za maana, lengo tufungue ofisi nimeona umeandika kuwa una uzoefu.
Kijiwe kipo mkuu njoo pm tujue tunaanzaje kufanya kazi ..Unaweza tafuta kijiwe cha kazi ambapo tutapata kazi za maana, lengo tufungue ofisi nimeona umeandika kuwa una uzoefu.
Mkuu njoo pm km inaitaji kufanya biashara hyo mm n fundi mzuri tu cna ofcn Kwa ss ila uzoefu na kazi hii ninayo na material najua yanapatikana wap na vifaa mm ninavyo baadhi km ukitaka tuongeze vingine vya kufanya kazi Bora zaidi n ww tu ,karbu pm tubadilishane namba mm bd kijana ila Nina udhoefu ktk hii kz.tutafanya mengi km tutaaminia ,hii kazi Ina helaa ukiwa na mtajii ..
NIAMINI na karibu mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]
Dar mkuuUpo wapi