Kisimbuzi Cha startimes nimekitoa, ilo swali Mimi mwenyewe ndo linanichanganya inakuaje nikisearch zinakuja za startimes? Na hazioneshiUme-disconnect cable inayotoka kwenye kisumbuzi cha startimes kwanza? maana inakuaje uweke cha AZAM alafu zionekane za Startimes, check vizuri mkuu hasa kwenye kuhamisha hapo kwenye TV
Tafuta fundi Acha ubahiliKisimbuzi Cha startimes nimekitoa, ilo swali Mimi mwenyewe ndo linanichanganya inakuaje nikisearch zinakuja za startimes? Na hazioneshi
Nashukuru mkuu ngoja nifanye hivyo🙏 ila nitaleta mrejesho baadae mana sahv sipo nacho karibuAu tusipoteze muda nenda kwenye setting then channel seach badilisha freequency kwenda namba 504 juu na chini weka hiyo hiyo then seach papo hapo zinakuja hizo channel za azam
Azam ya antena sio kwamba inashika kila eneo mkuu,mimi ni fundi wa hivi vitu,wanachokifanya wanasimika mnara mfano kwa mbezi upo kifuru na unarusha signal kwa mfan 22km radius. Kwahyo ukiwa nje na hizo km bas huwezi kupata signal hata iweje,nje na hapo zitakuwa zinakuja za startimes tu,pia antena ya azam haitaki karibu na miti mirefu sana ama majengo marefu kuipata inakuwa kidogo changamoto,nje na hapo tumia dish ambalo halichagui uko mkoa gani kutokana na kupokea mawimbi kwa njia ya satellite.Nimeamua kukirudisha nilipokinunua