Naombeni msaada kuhusu hii nacte

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
430
Reaction score
61
wanajukwaa,mara nyingi nimeona watu mbalimbali wanapokwama katika jambo lolote hili jukwaa limekuwa msaada mkuwa sana na mimi pia ni shaidi ktk hilo,kwa mara nyingine naomba msaada au muongozo katika hili nitakalo lisema hapa leo,kuna mtu wangu wa karibu amemaliza diploma mwaka jana,mwaka huu tumepanga ajiunge na elimu ya juu bachelor,baada ya kupitia maelezo ya TCU na NACTE zinaonyesha kuwa payment mode kwa waliomaliza diploma ni through m-pesa.siku ya jumapili ndo tukaamua kuanza mchakato huo kwa kulipia hiyo application fee ambayo ni sh hamsini elfu,baada ya kufuata maelekezo yote tulimaliza vizuri na tukapata confirmation text toka vodacom kuwa kiasi hicho kimetumwa kwenye account ya NACTE.ambacho kimetukwamisha hadi sasa ni kwamba hatujapata pamyment confirmation code ambayo ndo inatakiwa wakati wa kufanya applicatin through Central Admission System CAS.nisaidieni hapo nifanyaje nipate hiyo code manake siku ya tatu sasa na hakuna kinachoendelea?michango Yenu ndo msaada wangu,nawasilisha
 

i still hope some have clues in relation with my issue
 
Ingia kwenye mtandao wao,uchukue namba za simu na email uwatafute watakusaidia
 
Yale maneno ya kwanza kwenye message toka voda ndo confmtn code..huwa yanaenda mfano km EJ124684...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…