TRA wana kanuni na taratibu zao ambazo sheria imewapa, moja ya utaratibu wao ni kuwadhibiti wale wasumbufu wao kwa kuyafunga maduka au biashara zao kwa any means necessary ili kumkumbusha mwenyebiashara kulipa kodi haraka kabla hatua zingine kufuata. Wako sawa.
Kama hakuna wanachokudai na hawajawai kukusumbua kwa lolote basi wamefanya kosa kubwa sana na wewe utalipwa fidia kwa kadri ya muda waliokupotezea na maingizo ya biashara husika, lakini kama ukiamua swala hili ulisongeshe kisheria zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.