AhsanteeBamia,siku 55 utaanza vuna,utavuna kila baada ya siku mbili,vizia uanze kuvuna November Pana Bei nzuri kwa dar,ndogo ya Lita kumi utauza elf 8 mpaka 10,matuta mia utavuna ndoo 60 ndogo kwa mchumi mmoja
Kwasasa kwanzia Kibaha mpaka dar masoko mengi ndoo kubwa inacheza elfu 12 na hii ni toka mwaka jana mwezi wa 6 bamia Iko juu sana.Bamia,siku 55 utaanza vuna,utavuna kila baada ya siku mbili,vizia uanze kuvuna November Pana Bei nzuri kwa dar,ndogo ya Lita kumi utauza elf 8 mpaka 10,matuta mia utavuna ndoo 60 ndogo kwa mchumi mmoja
Ahsante mkuuHoho itapendeza kama ukianzia kwenye kitalu Kisha aumishe Miche kwe bustani maana mbegu zake ni ndogo sana pia zinachukua muda mlefu mpaka ziote ivyo kuwa na uvumilivu Mkuu
Bamia chukua mbegu ya Mwendokasi apo utavuna mapema pia kwa wingi
Kila lakheli Mkuu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Shukrani sanaNakushauri Lima bamia ni zao lisilokua na usumbufu mwingi na utaanza kuvunja mapema.
Ahsante mkuuBamia,siku 55 utaanza vuna,utavuna kila baada ya siku mbili,vizia uanze kuvuna November Pana Bei nzuri kwa dar,ndogo ya Lita kumi utauza elf 8 mpaka 10,matuta mia utavuna ndoo 60 ndogo kwa mchumi mmoja
Mwezi wa 11 mwaka Jana ndoo ndogo ilikua elfu 8-10, February hufika 12Kwasasa kwanzia Kibaha mpaka dar masoko mengi ndoo kubwa inacheza elfu 12 na hii ni toka mwaka jana mwezi wa 6 bamia Iko juu sana.
ndio ikoje hiyo mbegu mkuu? kama unawea tupa picha au jina lake linalotambulika katika madukaHoho itapendeza kama ukianzia kwenye kitalu Kisha aumishe Miche kwe bustani maana mbegu zake ni ndogo sana pia zinachukua muda mlefu mpaka ziote ivyo kuwa na uvumilivu Mkuu
Bamia chukua mbegu ya Mwendokasi apo utavuna mapema pia kwa wingi
Kila lakheli Mkuu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app