Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
najua nilichosema inasababisha interaction na dawa hizo na ndio maana nikasema zisichanganywe....kama kuna sababu maalum za kuchanganywa lazima watazame risks na wawe makini(monitering of blood pressure)au wabadili dawa apewe choice nyingine...na by the way ni profession yangu!!George nimependa maelezo yako lakini unaposema isichanganywe na ACEI, beta brockers, diuretics sio sahihi.......
pengine sio professional yako but Ahsante
George nimependa maelezo yako lakini unaposema isichanganywe na ACEI, beta brockers, diuretics sio sahihi.......
pengine sio professional yako but Ahsante
ungekuja na hoja kama za gorgeousmimi kuliko kuja na kebeh na critics zisizo na mantiki,it seems wewe ndo mwenye taaluma ya ufamasia haya tuambie
Aseme huyoo.salute kwako doct G