Naombeni msaada kuhusu mitihani ya private candidate

TBO

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
194
Reaction score
87
Wakuu nina dogo langu anataka kurudia mtihani wa private candidate ila ana uliza kuhusu format ya mtihani huo kama una tofauti na ule watakao fanya 4m4 wa sekondari? Je una ugumu
 
mkuu hii mitihani ya private na school government iko tofauti, ugumu upo kama hakujiandaa vizuri
 
Na maanisha kwa wanao rudia 4m4 alafu wana fanya mtihani wa private candidate
 
iko tofauti mkuu, si ndo hiyo private? au ulifikiri kuna mtihani wao yani risters paper?
 
Sawa mkuu nime kupata
 
Watainiwa wote wa CSEE wanatumia format ya aina moja ingawa utofaut upo kwenye maswal tu
 
Wakuu nina dogo langu anataka kurudia mtihani wa private candidate ila ana uliza kuhusu format ya mtihani huo kama una tofauti na ule watakao fanya 4m4 wa sekondari? Je una ugumu

Ila kuanzia mwaka jana kinataofauti na miaka mingine, kama anarisit masomo saba atafanya mitihani 14., kwa maana paper 1 na2.. Ni pagumu awe tu seriousy if he ia not serious kufeli njenje
 
Pc wanafeli kinyama!! Sijui ni kwann! Mim mwenyew nina center ninayoimiliki hili jambo linaniboa sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…