G Gitaa Member Joined Nov 10, 2014 Posts 18 Reaction score 14 Nov 21, 2014 #1 Napenda kujua kama kuna tiba au suluhisho kwa mtu mwenye tatzo la figo kuwa chini kuliko sehem inayotakiwa,mke wang anashida hyo na inampa maumiv makal sana hasa wakat wa tendo la ndoa.Figo yake moja iko chin.Nifanyeje?
Napenda kujua kama kuna tiba au suluhisho kwa mtu mwenye tatzo la figo kuwa chini kuliko sehem inayotakiwa,mke wang anashida hyo na inampa maumiv makal sana hasa wakat wa tendo la ndoa.Figo yake moja iko chin.Nifanyeje?