Habari wakuu
naombeni msaada ninataka kufungua duka la vifaa vya ujenzi(HARDWARE) ila tatizio ni kwamba mimi siyo mzoefu wa hii biashara naombeni list ya vitu muhimu vinavyotakiwa viwepo na sehemu nzuli ya kununulia kwa bei ya jumla nipo Dar es salaam.asanteni