Pelham 1
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 548
- 99
Habari zenu wakuu mlio Jf.
Naomba msaada kujua:
1. Aina za sabuni zilizopo sokoni za (Miche, Maji na Dawa)
2. Sabuni yenye majina makubwa
3. Sabuni zilizo na kiwango cha Tbs na Bar code
4. Uwezo wa wazalishaliji wa sabuni:
5. Aina ya viwanda vilivyopo
6. Aina ya Mashine wanazotumia
nisaidieni taadhali.