Naombeni Msaada KUJUA HAYA

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
99
Habari zenu wakuu mlio Jf.
Naomba msaada kujua:
1. Aina za sabuni zilizopo sokoni za (Miche, Maji na Dawa)
2. Sabuni yenye majina makubwa
3. Sabuni zilizo na kiwango cha Tbs na Bar code
4. Uwezo wa wazalishaliji wa sabuni:
5. Aina ya viwanda vilivyopo
6. Aina ya Mashine wanazotumia

nisaidieni taadhali.
 
nakushauri ungwacheki wwasajili wa hizi bidhaa. tfda au tbs
 
Tbs ziko jirani na stendi ya mkoa, TFDA ziko external njia inayoelekea Makuburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…