chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,439
- 1,738
Kwa mfano mtu anafanya kazi na kampuni fulani, baada ya muda hiyo kampuni inatolewa kutoka kwa mwendeshaji moja na kupewa mwingine na inabadilishwa jina. Mwendeshaji mpya anaamua kutoa mikataba upya tofauti na ile ya kampuni ya kampuni ya kwanza.
Swali ni kwamba: wale wafanyakazi ambo mikataba yao ya nyuma ambayo bado haijaisha, watatakiwa kulipwa kwanza alafu ndo wachukue mikataba ya kampuni mpya ukizingatia ya kwamba mkataba mpya unawarudisha katika probation period?
Naombeni msaada wenu hapo