Naombeni msaada kuwashwa kwa mwili ukipata joto

donald42

Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
6
Reaction score
2
Naombeni msaada wakuu kwa mtu anaejua hili tatizo nikiwa natembea juani au hata nikiwa ndani joto lamwili likipanda napata muwasho mmoja waajabu sana mwilini.

Yani naweza nikawa nipo ndani nikawa vizuri nikitoka tu nje kama kunajua nihatari huo muwasho hutokea pale tu joto lamwili likipanda hasa nikiwa juani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…