Naombeni msaada kwa hili

Naombeni msaada kwa hili

Kidonya N.

Member
Joined
Apr 13, 2012
Posts
80
Reaction score
17
Salaam ndugu wadau, naomba kuuliza wale wanaomba chuo kikuu huria(open univesity). Wanaomba Tcu au wanaenda katika tawi la chuo husika. Je waweza pata mkopo?. Nashukuru wadau
 
Binafsi sijui taratibu za kujiunga open university ila nashauri hebu jaribu kutembelea website ya open university huenda ukapata some useful information kuhusu kujoin.
 
unaomba tcu, mkopo nao omba tu, hata hivyo gharama za open ni za kawaida sana
 
Open unaweza kuomba kupitia tcu au hata direct chuon na unaweza kujiandikisha muda wowote
 
Back
Top Bottom