Elizabeth Eliase
Member
- Sep 15, 2017
- 18
- 10
Watengenezee kiota vizuri.
Hapa nimepata somo,nilikuwa naweka mayai yaliozidi siku 10 matokeo yake mengi hayakutotolewa,kumbe ni chini ya siku 10..Angalia chanzo cha mayai yako mayai yanayoweza kuangulika vyema yasiwe yamekaa siku nyingi(vizuri chini ya siku 10),yasiwe yamechafuliwa kinyesi cha kuku,yahifadhiwe sehemu isiyokua na joto na yenye mzunguko wa hewa,hifadhi sehemu ya iliyochongoka ikiangalia chini,usichague mayai makubwa sana kwa ajili ya kutamia tumia ya size ya kati