JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,758
- 2,770
Wakuu salaam.
Nilijiingia mkenge na matangazo ya FAST-JET nikafanya booking online na kulipia kwa M-PESA. Sasa mwenzenu yamenikuta na nashindwa nifanyeje sababu hawa fast jet hawatoi ushirikiano wa kutosha kwa wateja. Niliagiza mtu anifanyie booking online na anitumie reference number nilipie kwa M-Pesa. Bila kuangalia kuomba nakala ya ticket, nikalipia kwa M-Pesa na sasa nimegundua kuwa alikosea route akaweka DAR-JOBERG badala ya Joberg-Dar mwezi ujao. Nimefanya kila liwezekanalo kuwapigia ila namba ya haipokelewi zaidi ya kunilia tuu salio na ukizingatia napiga nikiwa nje ya Tz. Je? inawezekana kubadili route kuwa Joberg-Dar au ikiwezekana ku cancel kabisa safari na nikarudishiwa nauli niliyolipa? Naombeni ushauri/msaada tafadhali kwasababu wakala wao kila mmoja anasema lake na wananishauri niwasiliane na makao makuu nao ndohivyo namba yao ni kama ni imesetiwa na hakuna mtu anaye pokea. Email wala hawajibu.