Naombeni msaada kwenye appeal

Naombeni msaada kwenye appeal

amyb

Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
11
Reaction score
2
nahitaji kuedit information ambazo nimezisubmit kimakosa sijui nifanyeje naomba msaada wenu wa hali na mali kwa haraka
 
nahitaji kuedit information ambazo nimezisubmit kimakosa sijui nifanyeje naomba msaada wenu wa hali na mali kwa haraka

Hicho unachotaka kufanya ni ngumu ndugu yangu,,yaani ukijaza alafu,ukasend,ni ngumu kuedit.nenda loan pale mwenge ofisini kwao,ukawaambie,,may be inaweza kukusaidia.
 
nahitaji kuedit information ambazo nimezisubmit kimakosa sijui nifanyeje naomba msaada wenu wa hali na mali kwa haraka

ungefunguka zaidi mkuu! kama ni ofisini unaomba kazi, ukienda kuomba uziedit, unakuwa umewasaidia kuwapotezea muda wa kukujadili kwenye panel. count yourself out of shortlisted candidates for the interview.
 
Nicheki kwa namba hii ili nikusaidie kwani namie nilikuwa na tatizo kama lako ila nimeshalitatua. 0714 286373
 
Back
Top Bottom