Hicho unachotaka kufanya ni ngumu ndugu yangu,,yaani ukijaza alafu,ukasend,ni ngumu kuedit.nenda loan pale mwenge ofisini kwao,ukawaambie,,may be inaweza kukusaidia.
ungefunguka zaidi mkuu! kama ni ofisini unaomba kazi, ukienda kuomba uziedit, unakuwa umewasaidia kuwapotezea muda wa kukujadili kwenye panel. count yourself out of shortlisted candidates for the interview.