Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Sijakupata vizuri hapo kaka!Vuta pazia la notification huwezi pause am kustop kupitia notification panel?
VPNing! 😋😋Kwan twitter imerud???
Na hii hii shida yako nilikuwa nayo kwenye app ya instagrum. Ila kwa sasa naona imetulia yenyewe ilinitesa sana.Habarini za jioni wana JF,
Nina shida moja kwenye app ya Twitter, nikitazama video halafu ikiisha nikirudi nyuma kuendelea na mambo mengine ile sauti ya video inaendelea kuplay, na hata nikitoka kabisa nje hadi homescreen inaendelea kuplay, inakata pale tu niki-clear kwenye recent activity. Naomben msaada nini cha kufanya ili hii shida iishe.
Natanguliza shukrani
Yaani hii kitu inakera kweli kweliNa hii hii shida yako nilikuwa nayo kwenye app ya instagrum. Ila kwa sasa naona imetulia yenyewe ilinitesa sana.
Ila kwa sasa kuna mda video imesimama hai play ila sauti unasikia vizuri sasa sijajua shida nini
Ngoja wataalamu waje kutupa mwongozoYaani hii kitu inakera kweli kweli