Premium active tz, na mengi ila nimeyasahau mkuuAsante sana, unaweza kunipatia majina kampuni zinazonunua huko?
Inapatikana singida ila bei sijuiWilaya ya Kyela mkoa wa Mbeya wanalima kakao( yaani cocoa kwa kiingereza).
Ndio ni mkazi wa huko, ila kwa sasa nimetoka kidogoAsante ndugu. Na wewe ni mkazi wa maeneo hayo ?Na mwinge mwenye kujua wilaya zingine msaada
Kahawa pia wanalima Mbeya.asante kaka je kuna mazao mengine wanayoyategemea kwa biashara au ni kokoa tu.
Mkuu ulimaanisha kakao au?Inapatikana singida ila bei sijui
Nimeishi Tukuyu Mbeya Miaka kama ishirini iliyopita.asante kaka. Na wewe ni mwenyeji wa huko?
Bei kiasi gani?Hapana alizeti
Hivi Kakao soko lake lipo wapi hasa??Wilaya ya Kyela mkoa wa Mbeya wanalima kakao( yaani cocoa kwa kiingereza).