Naombeni msaada mimba ya 5 sasa inatoka

Shukran sana mkuu, hata mimi nimejifunza kitu hapa

Mributz , ushauri fasaha wa kitabu kutoka kwa Daktari bingwa huo hapo, achana na ulozi na mambo ya waganga, Mungu akusimamie upite huu mtihani
 
Shukran sana mkuu, hata mimi nimejifunza kitu hapa

Mributz , ushauri fasaha wa kitabu kutoka kwa Daktari bingwa huo hapo, achana na ulozi na mambo ya waganga, Mungu akusimamie upite huu mtihani
Asante san sana
 
Asante
 
1. Tafuta gynecologist

2. Nenda madhabahuni kwa nabii NICOLOUS SUGUYE
"Uwe hai, YESU YU HAI"
Hiyo ya kwanza ndio ushauri wa maana na wa pekee.

Hiyo namba 2 ni utapeli kama ilivyo utapeli wa CCM (isipokuwa " Uwe hai, YESU YU HAI").
 
Ukiachana na Ushauri wa watu wengi humu! Huyo mke wako kuharibika kwa mimba mfuatano ni swala la nguvu za Giza( uchawi). Muone mchungaji wa kipentecoste ( sio manabii) atamuombea mke wako na kuvunja hizo nguvu za Giza kwa maombi! Na mke wako Atakuwa sawa! Note usiende kwa Waganga utakuja kujuta! Ukihitaji msaqada wa maombi njoo inbox! Maombi ni Bure ( Yesu Alimaliza Yote msalabani)

Kutoka 23
26. Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.
 
Kwako mleta mada: naomba unipe ushirikiano kwa maswali yafuatayo 1. Unaishi mkoa gani? 2. Je unaamini katika utatuzi wa tatizo lako kwa miti shamba? Naomba majibu tafadhari.
 
Asante
 
Kwako mleta mada: naomba unipe ushirikiano kwa maswali yafuatayo 1. Unaishi mkoa gani? 2. Je unaamini katika utatuzi wa tatizo lako kwa miti shamba? Naomba majibu tafadhari.
Dsm
Naamini
 
Sio lazima sana lakini ni ina ukweli. Kwanza muulize kama aliwahi kutumia mpango wa uzazi iwe vidonge au sindano. Na kama alitumia nenda arusha upate mmama anayeweza kukusaidia au mara upate wale wamama wa zamani they will help you. Angekuwa hashiki hapo kungekuwa na shda kubwa ila kama anashka tafuta tiba na mtibiwe wote yaan wewe na yeye kama huamini wakunga tafuta mtaalam wa kizazi awape tiba na usimsukume atibiwe yeye mwenyewe no tibiweni wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…