Mtoto wa kaka angu anatafutiwa shule. Kwa wale wa Tanga mjini secondary gani ni nzuri kujiunga form one O level. Hata ikiwa day sio mbaya. Kama boarding ndio poa sio mbaya pia
Mimi ni mwl wa phy na math advanced level rosmin high school,ni shulen nzuri sana,mwaka jana form 4 ilikuwa nafas ya 5 kitaif,pia st christina sio mbaya,