Naombeni msaada mwenye uzoefu wa kufunga IP camera

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,587
Nimefunga ip camera 17 .Zipo kwenye NVR ya channel 32 ambayo ina direct port 16 poe make ni plug and play.

Changamoto inakuja kwa zile ambazo zipo kwenye external switch zikenigomea zinaonekana kwa kualtenate kwenye channel moja bas ila kudisplay kila camera kwenye channel yake imegoma kabisa.

Vifaa na muundo nilotumia.

Izo ambazo ni kwenye external poe switch zimeungwa direct kwenye switch imetoka link kwenda kwenye router afu router to nvr cable zote zimeterminatiwa straight through
 
Zina ip tofauti mkuu
Hope ulipata suruhisho. Hapo ulitakiwa kuwa na tool ya kudiscover hizo camera,na kila moja ikiwa na IP yake. Zote zinakuja. Mfano hapo ni SADP ya Brand ya HikVision
 

Attachments

  • IMG_20230310_183911_014.jpg
    1.6 MB · Views: 3
  • IMG_20230311_090345_090.jpg
    1.7 MB · Views: 4
  • IMG_20230311_123111_490.jpg
    1.9 MB · Views: 4
  • IMG_20230311_125342_241.jpg
    3 MB · Views: 4
Je IP iliyoko direct kwenye port ni hiyo 192.168.254.xxx?
Nenda kwenye network settings nikuelekeze
 
Link inatakiwa iwe hivi NVR to switch one Ethernet cable,then to Switch to router one Ethernet cable,sio Switch to router then router to NVR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…